Siasa
Rais Samia ateua viongozi wawili
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC). Dkt. ...Sudan Kusini yaomba walimu wa kufundisha Kiswahili
Sudan Kusini imeomba kutumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha mizigo yake na pia kununua chakula kutoka Tanzania. Hayo yameelezwa na Mjumbe ...Mtoto wa Museveni: Mapinduzi wa kijeshi yatadhibitiwa haraka
Mtoto wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema italichukua jeshi la nchi hiyo chini ya saa 24 kusambaratisha wanajeshi waasi watakaotaka kufanya ...Ndugai amtwisha Makamba sakata la bei ya petroli
Spika wa Bunge wa Tanzania, Job Ndugai amemwagiza Waziri wa Nishati, January Makamba kuhakikisha anasimamia vizuri wizara hiyo na kutatua changamoto nyingi ...Rais Samia: Baadhi walichukulia ukimya wangu kuwa udhaifu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa katika kipindi cha miezi sita ya kuiongoza nchi katika nafasi hiyo, ameitumia kujifunza namna ...UN yaimwagia ahadi Tanzania
Umoja wa Mataifa (UN) umeahidi kuendelea kuunga mkono jitihada mbalimbali za Tanzania za kuiletea maendeleo, ikiwemo kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). ...