Siasa
Rais Samia aja na mkakati wa kuitangaza Tanzanite
Katika hatua ya kuhakikisha kuwa wananchi na Taifa kwa ujumla wananufaika na rasilimali zilizopo, serikali imekuja na mkakati wa kuyatangaza zaidi madini ...Bunge latekeleza agizo la Rais Samia kuhusu bima ya afya
Bunge la Tanzania leo limepitisha muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ambayo yanalenga kuongeza umri ...Atibiwa bure baada ya kudanganywa kuwa ni Makamu wa Rais
Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za ulaghai baada ya kudanganya kuwa ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo ili ...Mzaliwa wa Rwanda akamatwa Uganda kwa madai ya ujasusi
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Uganda vinamshikilia Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu (kibinafsi) cha Victoria, Dkt. Lawrence Muganga kwa madai ya ...Rais Samia alivyombana Askofu Gwajima hadharani chanjo ya Corona
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amezungumza na wakazi wa Tegeta. Dar es Salaam na kuwaeleza masuala mbalimbali ambayo serikali inakusudia ...Ujerumani kuipa Tanzania chanjo ya UVIKO-19
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel. Katika mazungumzo hayo, Merkel amempongeza Rais ...