Siasa
Tozo: Serikali kutoa milioni 500 kila jimbo
Serikali imesema inakusudia kutoa shilingi milioni 500 kila jimbo nchini kwa ajili ya kukarabati barabara za vijijini ikiwa ni sehemu ya matumizi ...Denmark yaeleza sababu ya kufunga ubalozi wake Tanzania
Serikali ya Denmark imesema kuwa uamuzi wa kufunga ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo mwaka 2024 umetokana na vipaumbele vyake vipya kwenye ushirikiano ...Rais Samia, viongozi wa CCM kuhudhuria uapisho wa Rais wa Zambia
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ataondoka nchini kesho Agosti 24, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule ...Rais Samia: Timu ya Olimpiki ya Tanzania ina viongozi wengi kuliko wachezaji
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Kamati ya Olimpiki kujitathmini na kuja na mkakati utakaowezesha kuongeza idadi ya washiriki katika mashindano mbalimbali tofauti na ...Chanjo na kodi vyawafikisha Askofu Gwajima na Silaa kamati ya maadili
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameamuru wabunge Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga) kupelekwa mbele ya Kamati ya Haki, ...