Siasa
Nini sababu za baadhi ya viongozi wa Afrika kushikilia madaraka kwa muda mrefu?
Kauli kwamba “viongozi wa Afrika wanapenda madaraka” ni mtazamo ambao mara nyingi umetokana na historia na mifano mbalimbali ya viongozi wa Afrika ...Rais Samia: Vyombo vya Habari si mshindani wa Serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amesema vyombo vya habari sio mshindani wa Serikali, bali ni mdau na mshiriki muhimu wa shughuli za Serikali, ...Mpina akabidhiwa kwenye Kamati ya Maadili juu ya ushahidi wa Bashe kwa vyombo vya habari
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameiagiza Kamati ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge kukutana na kujadili juu ya mbunge wa ...Rais Samia akemea ubabe kwa viongozi wa mikoa na wilaya
Rais Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wanatumia vibaya madaraka yao kwa kuendeleza ubabe wakati wa utekelezaji ...Rais Samia amuagiza Msajili wa Hazina kufuatilia hesabu za mashirika yote kwenye mfumo
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu kuhakikisha anaweza kuona hesabu za mashirika yote anayoyasimamia ikiwa ni pamoja na ...Rais asisitiza mashirika kuzalisha zaidi ili kuleta mageuzi ya kiuchumi
Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika ya umma na taasisi za ndani kufanya kazi kwa bidi na kuzalisha zaidi ili uchumi wa ...