Siasa
NEC yataka wanaopita bila kupingwa wapigiwe kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imependekeza wagombea ubunge na udiwani wanaopita bila kupingwa katika chaguzi wapigiwe kura. Pendekezo hilo limetolewa na ...Mwekezaji wa Misri aahidi kuleta wawekezaji 50 nchini
Rais na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Elsewedy Electric kutoka nchini Misri, Mhandisi Ahmed El Sewedy ameahidi kuwa katika kipindi cha miaka ...Mkurugenzi Uhuru Media, wasaidizi wake wasimamishwa kazi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewasimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Media, Ernest Sungura, Mhariri Mtendaji, na Msimamizi wa Gazeti, Rashid Zahoro kumnukuu ...Majaji na Mahakimu wanawake wampongeza Rais kuteua wanawake
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA), Ikulu Chamwino mkoani ...Chama cha Wanasheria Tanganyika chaahidi ushirikiano kwa serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ambapo Rais wa chama hicho, ...Gazeti la Uhuru lamlisha maneno Samia urais 2025
Chama kinachotawala nchini Tanzania (Chama cha Mapinduzi-CCM) kimekanusha taarifa ya gazeti linalomilikiwa na chama hizo, la Uhuru yenye kichwa cha habari “Sina ...