Siasa
Masauni: Tozo za miamala ya simu siyo jambo geni
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema kodi ya miamala ya simu sio jambo geni nchini kwani huduma ...Tanzania yajiunga rasmi COVAX, yaahidiwa chanjo kutoka Umoja wa Ulaya
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania tayari imejiunga na mpango wa kimataifa wa ugawaji wa chanjo ya #COVID19 kwa nchi ...Bomoa bomoa nyingine yanukia Kimara
TANROAD imetoa siku 30 (kuanzia Julai 9) lwa wakazi Kimara kuondoa kuta, vibada, mashimo ya maji taka, nyumba zilizopo katika hifadhi ya ...Msajili avionya vyama vya siasa kuhusu uchochezi na lugha za dhihaka
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevionya vyama vya siasa kuepuka lugha za uchochezo, dhihaka, dharau na vitisho wakati vikiendelea ...Vyuo vya IFM na TIA vyatakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ya serikali
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Yussuf Masauni, amekiagiza Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na Chuo cha Uhasibu Tanzania ...Rais: Wapuuzeni wenye chokochoko, watavuruga amani
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi wakazi wa mkoa wa Morogoro pamoja na wananchi wengine kuendelea kuitunza amani iliyopo nchini kwasababu ndio msingi ...