Siasa
Rais Samia akutana na bosi wa Barrick Gold, wazungumzia kampuni ya Twiga
Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow amemhakikishia Rais Samia Suluhu Hassan Samia Barrick Gold itaendelea kushirikiana na Serikali ...Rais Samia azungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Julai 6, 2021 amezungumza kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, ...Ripoti ya CAG yabaini madudu fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ...Zuma jela kwa kudharau mahakama
Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amehukumiwa kifungo cha miezi 15 jela baada ya mahakama ya juu nchini humo kumtia hatiani ...Faini elfu 50 kwa wanaotupa taka hovyo
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Queen Sendiga amepiga marufuku wananchi wote kutupa takataka na kuchafua mazingira hovyo ili kuendelea kuyaweka mazingira kuwa ...Mahakama Kuu yawafutia hukumu Mbowe na wenzake, yaamuru faini zao kurejeshwa
Mahakama Kuu imetengua hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyowatia hatiani Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake saba, na kumriwa ...