Siasa
Tanzania yakanusha kuruhusu kilimo na matumizi ya bangi
Serikali imesema kuwa haijaruhusu matumizi na kilimo cha bangi, na hivyo kuwataka wananchi kujikita katika kilimo cha mazao mengine yenye tija. Msimamo ...Masuala la ugaidi na Corona yatawala mkutano wa SADC
Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) leo wamekutana mjini Maputo nchini Msumbiji katika mkutano wa ...Wasiojulikana wawatishia waandishi wanaoripoti kesi ya Sabaya
Chama cha Waandishi wa Habari mkoani Arusha (APC) kimeeleza kusikitishwa na kulaani kitendo cha baadhi ya waandishi wa habari kutishiwa kutokana na ...China kuongeza uwekezaji Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 21, 2021 amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa China, Xi Jinping. Katika mazungumnzo ...Orodha ya wakuu wapya wa wilaya. Wamo Jokate, Mashinji na Nassari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 19, 2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya katika Mikoa ...Tanzania yatangaza siku 7 za maombolezo, kifo cha Mzee Kaunda
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza siku 7 za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Zambia, Dkt. ...