Siasa
Rais Samia amlilia Mzee Kaunda
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na kifo cha mwasisi na Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda kilichotokea leo. ...Tanzania kujiunga na mpango wa kusambaza chanjo wa COVAX
Tanzania inatarajia kujiunga na mpango wa kugawa chanjo ya Corona wa COVAX, Shirika la Afya Duniani limeeleza ambapo chanjo hizo zinaweza kuwasili ...Siku 360 za Msulwa kwenye ukuu wa wilaya Morogoro
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 15, 2021 ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bakari Msulwa na Mkurugenzi ...Rais aiagiza BoT kujiandaa na matumizi ya sarafu za kimtandao (cryptocurrency)
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Benki Kuu ya Tanzania kujiandaa na matumizi ya safaru za kimtandao (cryptocurrecy/blockchain), kwani huenda ikafika wakati mabadiliko ...Serikali kuja na mpango wa kuirejesha Tanzanite Tanzania
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kutoridhika na usimamizi wa uchimbaji na uuzaji wa madini ya Tanzanite unavyofanyika, hivyo ameaigiza Wizara ...Wambura atuma salama kwa wahalifu
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, DCI Camilius Wambura amesema Jeshi la Polisi halitamvumilia mtu yeyote atakayeendelea kujihusisha na vitendo vya ...