Siasa
Kauli iliyomponza Chalamila
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 11, 2021 ametangaza kutengua uteuzi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila ...Rais Samia atengua uteuzi wa Chalamila
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuxi wa aliyekuwa Mkoa wa Mwanza Albert Chalamila kuanzia leo Juni 11, 2021. Kufuatia utenguzi huo amemhamisha ...Haniu ateuliwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaffar Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu). Kabla ya uteuzi alikuwa Mtendaji Mkuu wa vyombo ...Rais Samia kumaliza changamoto mpangilio wa Machinga Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan leo amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembelea soko la Kariakoo mkoani Dar es Salaam. Amewatembelea wafanyabiashara wanaouza bidhaa ...