Siasa
Namna viongozi wa Afrika wanavyowaandaa watoto wao kuwa Rais
Siasa za Afrika zimechagizwa kwa kiasi kikubwa na mfungamano wa kifamilia na hii inadhihirika zaidi namna viongozi waliopo madarakani wanavyowaandaa watoto wao ...Rais Samia atengua uteuzi wa Azza Hamad
Rais Samia Suluhu Hassa ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad aliyeteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu. Bi. Azza atapangiwa majukumu ...Watendaji wizara ya fedha wasimamishwa kwa kujilipa posho kwa kutekeleza majukumu yao
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango ili ...Kiswahili rasmi kutumika mikutano yote ya Umoja wa Afrika
Lugha ya Kiswahili imechaguliwa kuwa lugha rasmi kutumika katika mikutano yote itakayoendeshwa na Umoja wa Afrika (AU). Akiongea na waandishi wa habari ...Rais Samia ateua mabalozi 23
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mabalozi 23 kama ifuatavyo; Amemteua Lut. Jen. Yakub Hassan Mohamed. Lut. Jen. Yakub ...SGR Dar-Moro kuanza kutumika Agosti 2021
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa majaribo ya treni ya abiria yanatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi ...