Siasa
COVID19: Rais Samia ataka nchi za Afrika kusamehewa madeni
Kutokana na athari za COVID19 katika uchumi wa nchi mbalimbali hasa za Afrika, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa ...Rais Samia aagiza utaratibu wa kutoa PF.3 kubadilishwa
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza jeshi la polisi kuangalia upya utaratibu wa utoaji wa fomu ...Rais Samia apangua wakuu wa mikoa, aingiza wapya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na watendaji wakuu wa taasisi ...Sabaya asimamishwa kazi, Rais ateua Karani wa Baraza la Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ...Mwili wa Rais Mugabe watakiwa kufukuliwa
Grace Mugabe, Mke wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele ya mahakama ya kitamaduni kufuatia madai ya kukiuka kanuni ...