Siasa
Rais Samia alifumua Shirika la Posta
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi watatu wa Shirika la Posta Tanzaniakuanzia Aprili 30, 2021. Kwanza, ametengua uteuzi wa Mwenyekiti ...Rais Obasanjo atoa pole kwa vifo vya Rais Mkapa na Dkt. Magufuli
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Chamwino mkoani ...Jafo aagiza kukamatwa mfanyabiashara aliyetelekeza makontena bandarini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Kaissy, Mkurugenzi wa Kampuni ya Seif ...Corona yakwamisha nyongeza ya mishahara
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa ameshindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama wengi walivyotarajia kutokana na athari za #COVID19, ugonjwa ...Rais Samia asamehe wafungwa 5,001
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,001 waliokuwa wakikabiliwa na adhabu ya vifungo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wa ...Waziri Aweso awasweka rumande vigogo watano Mwanza
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kuwaweka mahabusu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mjini Mwanza (MWAWASA), Meneja ...