Siasa
Shambulio la waasi lamuua Rais wa Chad
Rais wa Chad, Idriss Derby amefariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita. Taarifa za kifo ...Dkt. Tulia: Milioni 50 kila kijiji haipo, Rais Samia hakuahidi
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewataka wabunge kutombebesha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mzigo ambao hastahili kwamba ...Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi nane
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo; Amemteua Dkt. Richard J. MASIKA ...Rais Samia aweka wazi mwelekeo wa serikali ya Awamu ya Sita
Rais Samia Samia Suluhu amesema uongozi wake wa Awamu ya Sita haukutokana na uchaguzi, bali umetokana na Awamu ya Tano hivyo amesema ...Historia fupi ya Seif Sharif Hamad (1943-2021)
Seif Sharif Hamad alizaliwa Oktoba 22, 1943 huko Kisiwani Pemba. Alipata elimu ya msingi kuanzia 1950 hadi 1957 katika shule za Uondwe ...Kenya: Mbunge aingia bungeni na bastola
Taharuki ilizuka ndani ya Bunge la Kenya jana baada ya mbunge mmoja kuingia na bastola ndani ya ukumbi wa bunge wakati kikao ...