Siasa
Serikali haitatangaza ikipandisha mishahara ya watumishi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewatoa hofu watumishi wa umma kuhusu maslahi yao na kubainisha kuwa serikali haitatangaza hadharani itakapopandisha mishahara yao. Ameyasema ...Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha bungeni jijini Dodoma Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa ...Prof. Kabudi: Awamu ya pili ya Rais Magufuli atajikita kuboresha sekta binafsi
Serikali imesema katika kipindi cha muhula wa pili wa miaka mitano ya Rais Dkt. Magufuli itajikita zaidi katika diplomasia ya uchumi, kuimarisha ...Rais Magufuli ataka mabadiliko mfumo wa mahakama
Rais Magufuli ametoa wito kwa mahakama na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya mabadiliko ya sheria na mifumo ya mahakama iliyorithiwa kutoka ...Waziri wa Maji, Juma Aweso anusurika kutumbuliwa na Rais Magufuli
Rais Dkt. Maguful amesema kuwa endapo Waziri wa Maji, Juma Aweso asingewafukuza kazi wakandarasi wa mradi wa maji katika Wilaya ya Mwanga, ...Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi aliyenunua gari la gharama kubwa
Rais Dkt. Magufuli ametangaza kumsamehe Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Kahama, Anderson Msumba aliyekuwa akikabiliwa na tuhuma za kutumia fedha nyingi za ...