Siasa
Waziri Mpango: Atakayevujisha siri za serikali atajutia ukaidi wake
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amelitaka baraza la wafanyakazi wizara hiyo kufanyakazi kwa kufuata misingi na kuwa hatasita kumchukulia ...Jafo apendekeza stendi ya Mbezi Luis kupewa jina la Rais Magufuli
Waziri wa TAMISEMI, Seiman Jaffo ameelekeza uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis inaanza ...Wizara ya Mambo ya Nje yasema haina taarifa za vikwazo vya Marekani
Siku mbili baada ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo baadhi ya maafisa wa Tanzania kwa kuvuruga uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, Wizara ...Mbunge wa CCM afariki dunia India
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa ya ...Rais Magufuli amualika Waziri Mkuu wa Uingereza nchini, aomba aje na misaada
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemualika Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson kuitembelea Tanzania kutokana na kuzidi kuimarika kwa uhusiano kati ya ...Rais Magufuli awaponge Dkt. Mwinyi na Maalim Seif kwa kutanguliza maslahi ya Taifa
Rais Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kutanguliza maslahi ya nchi mbele na kuhakikisha amani inaendelea ili wananchi waendelee na shughuli zao na ...