Siasa
TBS yatakiwa kuweka mazingira mazuri kwa sekta binafsi kufanya biashara
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amewataka wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kufanya kazi kwa weledi ili kusaidia na ...Rais Magufuli: Hospitali ya Rufaa ya Kanda, Chato ijengwe kwa pamoja, sio kwa awamu
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufili ameiagiza Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhakikisha Hospitali ya Rufaa ya ...Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete awahimiza wananchi kuunga mkono ujenzi bandari kavu ya Kwala
Na ANDREW CHALE, CHALINZE. MBUNGE Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewahimiza wananchi wa Kitongoji cha Kisogo, Kijiji cha Visezi Kata ya Vigwaza ...Waziri wa Mambo ya Nje wa China kuzindua chuo cha VETA wilayani Chato
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wangi Yi anatarajiwa kuzindua Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (VETA) katika Wilaya ya Chato ...Serikali yazuia halmashauri kutumia wafanyabiashara kutoa chanjo kwa mifugo
Serikali imeziagiza halmashauri kutotumia wafanyabiashara kuto chanjo kwa mifugo na kwamba halmashauri hizo zivunje mitakata ambayo zimeingia kwa ajili ya zoezi hilo. ...Walemavu wageuzwa kitega uchumi jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu, Ummy Ndeliananga amekemea vikali vitendo vya udhalilishaji watu wenye ulemavu ikiwemo suala watu ...