Siasa
Baba wa Waziri Mkuu wa Uingereza aomba uraia wa Ufaransa kufuatia Brexit
Baba mzazi wa Waziri wa Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amesema yupo kwenye mchakato wa kuomba hati ya kusafiria (passport) ya Ufaransa ...Kalemani: Kukata umeme hovyo kutamfukuzisha mtu kazi
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amelionya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuacha tabia ya kukata kata umeme hovyo. Akizungumza na maafisa ...Waziri Jafo asema anataka halmashauri zijitegemee na kulipa watumishi mishahara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo ...Uganda: Polisi ammwagia pilipili machoni mgombea Urais wa upinzani
Mgombea wa urais nchini Uganda kupitia chama cha Forum for Democratic Change (FDC), Patrick Amuriat, amenyunyuziwa pilipili machoni kiasi cha kulazwa hospitalini. ...Rais Magufuli aeleza alivyomuonya mkurugenzi kabla ya kumtumbua leo
Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Revocatus Kuuli. Rais Magufuli ametengua ...China: Mwandishi ahukumiwa jela miaka 4 kwa kuripoti kuhusu corona Wuhan
Mahakama nchini China imemhukumu kifungo cha miaka minne jela mwandishi wa habari wa kujitegemea baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kuhatarisha ...