Siasa
Rais Magufuli azuia kubomolewa hoteli ya Sugu mkoani Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema kuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema hakuna mtu yeyote atakayebomoa hoteli ya ...Rais Magufuli apiga ‘stop’ urejesha fomu za maadili kwa njia ya mtandao
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ameitaka Sekretarieti ya Maadili ya viongozi kuachana na ujazaji na uwasilishaji wa fomu za maadili ya uongozi ...Rais Magufuli amteua Jaji Mwangesi kuwa Kamishna wa Maadili
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi (Jaji wa Mahakama ya Rufani) kuwa Kamishna wa Maadili. Jaji Mwangesi ameteuliwa ...Majaliwa atoa maagizo ujenzi wa daraja jipya Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, ameitaka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kutengeneza kanzi data ya wataalamu ...Madiwani wamshitaki mkurugenzi kwa Waziri Mkuu kwa kununua gari la milioni 470
Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamedai Sheria ya Manunuzi ya Umma haikuzingariwa wakati wa ununuzi wa ...Kanisa lamtunuku Rais Dkt. Magufuli Tuzo ya Uongozi Bora
Kanisa la Philadelphia Gospel Assembly limemtunukia Tuzo ya Uongozi Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wake. Tuzo ...