Siasa
Waziri Mkuu atoa siku 7 walionunua magari kwa gharama kubwa wajieleze
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo Disemba 17, 2020 kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ...Waziri Ummy Mwalimu aionya NEMC utoaji wa vibali vya uwekezaji
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa ...China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji
China imesema itaangalia namna ya kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo reli ya kati kwa kiwango cha ...Somalia yavunja uhusiano wa kidiplomasia na Kenya
Serikali kuu ya Somalia imevunja uhusiano wa kidiplomasia na nchi jirani ya Kenya, baada ya kuvutana na kupisha kwa muda mrefu. Somalia ...Mbunge wa Chalinze aeleza kukerwa na migogoro isiyokwisha
MBUNGE Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameeleza kukerwa kwake na migogoro isiyokwisha baina ya vijiji na vijiji kuhusu mipaka na ile ya ...Waziri afuta likizo za Krismasi na Mwaka Mpya, aagiza mradi ukamilike kwa wakati
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesitisha likizo za sikukuu za Krimasi na mwaka mpya kwa wataalamu wote wanaohusika na ujenzi wa ...