Siasa
Prof. Shukrani Manya ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Madini
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Prof. Shukrani Manya kuwa Naibu Waziri wa Madini. Prof. Manya pia ameteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge ...Godbless Lema apewa hifadhi nchini Canada
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema ameelekea nchini Canada alikopewa hifadhi ya ...Rais Magufuli kuteua Naibu Waziri mpya wa Madini baada ya wa awali kushindwa kuapa
Rais wa Tanzani, Dkt. Magufuli amesema atateua Naibu Waziri mwingine wa madini baada ya Francis Ndulane, aliyekuwa ameteuliwa kushika wadhifa huo kushindwa ...Rais Magufuli aeleza makundi mitandaoni yanavyovujisha siri za serikali
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amesema kuwa serikali inafanya kazi zake kwenye karatasi na sio kwenye makundi ya mitandao kama ambavyo baadhi ...ACT-Wazalendo yataka mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Zanzibar
Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka kufanyika mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Zanzibar ili kurejesha imani ya wananchi juu ya uwepo wa uchaguzi huru ...DPP: Kesi ya Nusrat Hanje nimeifuta kisheria
Mkurugenzi wa Mashitaka Tanzania (DPP), Biswalo Mganga amesema wanaolalamika kuwa amemfutia kesi kada wa CHADEMA, Nusrat Hanje isivyo sahihi wanakiuka utaratibu . ...