Siasa
Kituo cha Haki za Binadamu chataka viongozi wa CHADEMA waachiliwe bila masharti
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Jeshi la Polisi kuwaachilia huru bila masharti yoyote viongozi wa Chama cha Demokrasia ...Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Katibu Mkuu, John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph ...Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya vijana yaliyopangwa na CHADEMA
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote yaliyopangwa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani ...Rais aelekeza viwanda vilivyokufa Morogoro vifufuliwe
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha Mkoa wa Morogoro unarudi kwenye hadhi ya viwanda kama ilivyokuwa hapo zamani ili kukuza uchumi ...Rais: Viongozi mnaowalangua wakulima kwenye mpunga hamtendi haki
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaofanya biashara ya ununuzi wa mpunga kwa kuwalangua wakulima kuacha tabia hiyo kwani hawawatendei haki wakulima. ...