Siasa
Halima Mdee agoma kuzungumzia walivyofika bungeni
Mwanasiasa Halima Mdee amesema hawezi kuzungumzia mchakato uliowafikisha bungeni hadi kuapishwa kwa sababu maelezo hayo yapo kwenye rufaa yao ya kupinga kuvuliwa ...Rais Magufuli amteua Polepole kuwa Mbunge
Ikulu, Chamwino.Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanza, ...Aliyekuwa mtia nia ya Urais Uganda afungwa jela miaka mitatu
Mahakama ya Juu nchini Uganda imemhukumu aliyekuwa mtia nia ya kugombea Urais nchini humo kwa kutumia lugha ya matusi dhidi ya majaji ...Halima Mdee na wenzake waitwa kujieleza
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wanachama wake 19 walioapishwa jana kuwa wabungr wa Viti Maalum kufika katika makao makuu ya ...CHADEMA: Hatujateua Wabunge wa Viti Maalum
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa chama hicho hakijateua wabunge wa viti maalum na hivyo hakuna orodha iliyopelekwa Tume ya ...Rais Mstaafu, Dkt. Shein ateuliwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi tatu, ambapo kwanza amemteua Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa ...