Siasa
Tanzania yakanusha kuwekewa zuio na Umoja wa Ulaya
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji ambaye pia ni Muwakilisha wa Tanzania katika Umoja wa Ulaya (EU), Jestas Nyamanga amekanusha taarifa kuwa EU imeazimia ...Rais Dkt. Mwinyi aanza kubana matumizi kwa kutoteua Naibu Mawaziri
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza Baraza la Mawaziri lenye wizara 15, akiwa amefanya mabadiliko ...Peru yapata Rais wa tatu ndani ya wiki moja
Francisco Sagasti ameapishwa kuwa Rais wa muda wa Peru, akiwa ni Rais wa tatu kuliongoza Taifa hilo la Amerika ya Kusini ndani ...Mahakama yatoa hukumu kesi ha Maxence Melo na Mike Mushi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemtia hatiani Mkurugenzi wa Jamiiforums Maxence Melo, katika shitaka namba mbili la kuzuia ...Tshala Muana akamatwa kwa “kumkejeli” Rais kwa wimbo
Jeshi la polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) linashikilia mwanamuziki Tshala Mauna ambaye alikamatwa Novemba 16, 2020 kwa tuhuma za ...Umri wa JPM kigezo cha Urais 2025
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amesema kuwa hawezi kumpendekeza mtu mwenye umri mkubwa kumzidi yeye awe Rais wa Tanzania pindi muhula wake ...