Siasa
Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa kufungua Bunge la 12
Mheshimiwa Spika;Mara ya mwisho nilipoingia kwenye Ukumbi huu Kulifunga Bunge la 11, tulibahatika kuwa na Marais wetu Wastaafu watatu. Lakini leo, wapo ...Kabudi na Mpango ndani ya baraza jipya la mawaziri
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amefanya uteuzi wa mawaziri 2 katika baraza jipya la mawaziri. Kwanza, amemteua Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko ...Alichosema Tundu Lissu baada ya kufika Ubelgiji
Aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu amesema alichagua kwenda Ubelgiji kwa sababu ana kibali cha mkaazi, hivyo ilikuwa rahisi kwake kwenda ...Bunge la 12 halitokuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani
Wakati vikao vya Bunge la 12 la Tanzania vikianza leo jijini Dodoma, bunge hilo litakuwa na muundo tofauti kidogo na Bunge la ...Wabunge wa CCM: Halitokuwa bunge la kupiga makofi
Mbunge mteule wa Makete (CCM), Festo Sanga amesema wabunge wa CCM hawatakwenda kupiga makofi bungeni na badala yake watakosoa kistaarabu. Akizungumza katika ...Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakiwa kuhakikisha serikali inashinda kesi
Rais Dkt. Magufuli amemuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Akizungumza baada ya kumuapisha, Rais Magufuli amesema Watanzania wana ...