Siasa
Rais Magufuli: Sitabadilisha wakuu wa mikoa na wilaya, wamechangia ushindi
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amesema kuwa hana mpango wa kubadilisha wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, makatibu wakuu, na kwamba ...Godbless Lema akamatwa Kenya akitafuta hifadhi Ubalozi wa Marekani
Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini Kenya baada ya yeye na ...Nigeria kuzifunga akaunti za benki zilizotumika wakati wa maandamano
Benki Kuu ya Nigeria imepewa kibali na mahakama kuzifunga (freeze) akaunti 20 za benki zinazohusishwa kutumika wakati wa maandamano ya kupinga ukatili ...IGP Sirro: Hatuna taarifa za Tundu Lissu kutishiwa kuuawa
Jeshi la Polisi limesema halina taarifa ya madai yaliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa ametishiwa kuuawa na watu ambao ...Rais Dkt. Magufuli ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Ikulu, Chamwino.Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi huo unaanza leo Novemba ...Uchaguzi Marekani: Donald Trump ajitangazia ushindi
Mgombea Urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amejitangazia ushindi licha ya kuwa bado mamilioni ya kura hayajahesabiwa. Maafisa kadhaa ...