Siasa
Rais wa Ivory Coast ashinda uchaguzi kwa asilimia 94
Tume ya uchaguzi nchinj Ivory Coast imemtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili baada ya kupata asilimia 94 ...Taarifa ya Polisi kuhusu kukamatwa kwa Mbowe, Mdee na Zitto watakiwa kujisalimisha
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea na oparesheni kali ya kukamata watu wanaofanya mipango ya kuhamasisha maandamano ...CCM yatangaza sifa za wanaotakiwa kuwa Spika, Naibu spika na Meya
Baada ya kuamilika kwa uchaguzi kuu, Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeoata ushindi mkubwa kimewaalika wananchama wa chama hicho wanaotaka kugombea nafasi ...CHADEMA na ACT Wazalendo wapinga matokeo, wataka uchaguzi wa marudio
Vyama vya upinzani Tanzania, ACT-Wazalendo na CHADEMA vimesema haviyatambui matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ...Waangalizi wa Afrika Mashariki wasema uchaguzi wa Tanzania ulifuata taratibu
Waangalizi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamesema kuwa uchaguzi mkuu wa Tanzania umefanyika kwa kufuata taratibu. Rais Mstaafu wa Burundi, Sylvestre ...Zambia yakwama kupitisha sheria yakumuongeza nguvu Rais
Jitihada za chama tawala cha Zambia za kupitisha muswada wa mabadiliko ya Katiba ambayo yangemuongezea nguvu/mamlaka Rais wa nchi hiyo zimekwama. Chama ...