Siasa
Majaliwa: Tuwe na subira matokeo yakiendelea kutolewa
Siku moja baaxa ya Watanzania kupiga kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani, Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuwa wmna ...CCM yashinda ubunge Moshi Mjini kwa mara ya kwanza tangu 1995
Chama cha Mapinduzi kimefanikiwa kushinda nafasi ya ubunge katika Jimbo la Moshi Mjinj kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25 ya ...NEC yakanusha uwepo wa kura feki Kawe
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusj kukamatwa kwa kura feki si katika majimbo ...Taarifa ya IGP Simon Sirro kuhusu polisi kurushiwa mawe Zanzibar
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linawashikilia baadhi ya vijana waliokuwa wakirushia mawe polisi ...Ujumbe wa Umoja wa Mataifa kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania
Tanzania ikitarajia kufanya uchaguzi mkuu kesho Oktoba 28, 2020, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres amewasihi wadau wote kuhakikisha ...NEC: Wanasiasa watakaoshindwa kuthibitisha madai ya vituo hewa kuchukuliwa hatua
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema itawachukulia hatua stahiki wanasiasa na wagombea wanaodai kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa endapo watashindwa ...