Siasa
Uswisi yaipa Tanzania msaada wa bilioni 39 kuboresha sekta ya afya
Tanzania imepokea msaada wa shilingi bilioni 39.59 kutoka serikali ya Uswisi unaolenga kusaidia jitihada za Tanzania kufikia malengo ya kusaidia sekta ya ...Mufti wa Tanzania: Msichague viongozi kwa mrengo wa dini
Siku tano kabla ya Watanzania kufanya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani, Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuber amewataka waumini wa dini ...ACT-Wazalendo ‘yamruka’ Bernard Membe
Chama cha ACT-Wazalendo kimeeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na mgombea Urais wa chama hicho, Bernard Membe jana wakati akizungumza na waandishi wa ...Mgombea wa upinzani Guinea ajitangaza kushinda Urais
Mgombea wa upinzani nchini Guinea, Cellou Dalein Diallo amejitangaza kuwa ameshinda uchaguzi mkuu wa Rais uliofanyika Jumapili. Licha ya kuwa matokeo rasmi ...Membe: Nilisimamisha kampeni kutokana na msaidizi wangu kukamatwa
Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe amesema kuwa kukamatwa kwa msaidizi wake ndiyo sababu iliyompelekea yeye kusitisha kufanya kampeni ...