Siasa
Membe atoa wito kwa wagombea na viongozi wa dini kuelekea uchaguzi
Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu wametakuwa kukubali matokeo yatakayotangazwa, kwani hilo ni msingi ...Wagombea wa CCM watakiwa kubadili maudhui ya kampeni zao
Siku mbili baada ya kuzindua awamu ya sita ya kampeni zake, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amewataka ...Maalim Seif afungiwa kufanya kampeni kwa siku tano
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa ...Polisi Uganda wachukua fomu za uteuzi wa kugombea Urais za Bobi Wine
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine amesema kuwa polisi nchini humo wamechukua fomu zake za kuwania kuteuliwa kugombea ...Rais wa Uganda, Yoweri Museveni abadili jina lake
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amebadili jina lake ambapo sasa amejumuisha jina alilokuwa akilitumia utotoni, Tibuhaburwa. Rais Mueveni alisaini hati ya kubadili ...NEC yaitangaza kampuni inayochapisha karatasi za kupigia kura za Uchaguzi Mkuu 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii ambazo si za kweli kuhusu mchakato wa kumpata mzabuni ...