Siasa
Aliyekuwa Meya wa Ilala amuomba radhi Dkt. Magufuli kwa kumhujumu akiwa UKAWA
Aliyekuwa Diwani wa Vingunguti na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Omar Kumbilamoto amemuomba radhi Dkt. John Magufuli kwa kuihujumu serikali wakati ...Rais Magufuli atangaza siku tatu za kuombea COVID19 iondoke Kenya
Rais Dkt. Magufuli ambaye pia ni mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amewaomba Watanzania kutumia siku tatu kuanzia leo ...Malawi yaeleza sababu ya Rais Chakwera kukatisha ziara yake Tanzania
Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera aliwasili nchinj Tanzania Jumatano Oktoba 7 mwaka huu kwa ajili ya ziara ya kitaifa ya siku ...Rais wa Malawi: Tufanye chaguzi bila waangalizi wa nje
Zikiwa zimebaki siku 20 kufanyika uchaguzi mkuu nchini Tanzania, Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amesema ni muhimu Afrika ikafanya chaguzi zake ...Zitto Kabwe apata ajali mkoani Kigoma
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepata ajali ya gari akiwa njiani akitokea Kata ya Kalya kuelekea Lukoma kwenye kampeni katika ...Ufafanuzi wa NEC kuhusu adhabu aliyopewa Tundu Lissu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa haijatoa adhabu kwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu bali adhabu hiyo ...