Siasa
Dkt. Mwinyi asisitiza kutunza amani kuelekea Uchaguzi Mkuu mwakani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameisisitiza jamii kuendelea kuitunza amani iliyopo wakati nchi ikielekea ...Serikali: Tunachunguza madai ya wanafunzi kufukuzwa kisa wazazi wao wanaunga mkono CHADEMA
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuchunguzwa kwa taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo ...Rais Samia kuunda Tume kushughulikia suala la Ngorongoro
Rais Samia kuunda Tume kushughulikia suala la Ngorongoro Rais Samia Suluhu amesema ataunda Tume mbili ambapo moja itachunguza na kutoa mapendekezo kuhusu ...Mzee Kiuno aweka rekodi ya kuongoza Uenyekiti wa Mtaa kwa miaka 30
Mwenyekiti wa mitaa mwenye umri wa miaka 70, Hamis Lukinga maarufu kama ‘Mzee Kiuno,’ ameendelea kuandika historia baada ya kuchaguliwa tena kuongoza ...Polisi: Taarifa kuhusu viongozi wa upinzani kufanyiwa uhalifu ni za kutengeneza
Jeshi la Polisi nchini limesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza viongozi wa upinzani kufanyiwa vitendo visivyofaa hazina ukweli wowote bali ...