Siasa
Rais: Migogoro baina ya wafugaji na wakulima haina tija kwa taifa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema migogoro baina ya wakulima na wafugaji haina tija kwa taifa kwani inaweza kuleta machafuko na kulidhoofisha taifa. ...Muswada mpya wapendekeza faini ya TZS milioni 104 kwa wanaotumia miujiza kuwatapeli wananchi
Kiongozi yeyote wa kidini atakayefanya miujiza, uponyaji au baraka kwa njia ya udanganyifu kwa lengo la kuwaibia Wakenya wasio na hatia, atakabiliwa ...Rais: Tutaunda kamati kutatua changamoto za kodi kwa wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itaunda kamati itakayoshirikisha wajumbe kutoka serikalini na sekta binafsi ili kupitia kwa undani mfumo mzima wa kodi ...Rais Ruto awaongeza mishahara maafisa polisi na magereza
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza kuwa nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa polisi, magereza na maafisa wengine wa mashirika ya usalama ...Kenya yafichua mashirika yanayofadhiliwa na Ford Foundation kuchochea vurugu
Serikali ya Kenya imeiandikia rasmi barua Shirika binafsi la Kimarekani, Ford Foundation ikiituhumu shirika hilo kufadhili maandamano ya Kenya pamoja na kuyaweka ...