Siasa
Serikali yakanusha madai ya Tundu Lissu kuhusu wakurugenzi kuitwa Dodoma
Ofisi ya Rais-TAMISEMI imesema kuwa wakurugenzi wa halamashauri hawajaitwa Dodoma kukutana na Rais Dkt. Magufuli kupewa maelekezo maalum kuhusu uchaguzi kama ilivyoelezwa ...Hashim Rungwe asema ukata unakwamisha kampeni za vyama vya siasa
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kuwa vyama vya siasa vinakabiliwa na ukata, hali inayopelekea vyama hivyo kushindwa kufanya kampeni kama ...Ghana: Polisi watakiwa kupunguza kujamiiana kuelekea uchaguzi mkuu
Kamanda wa Polisi jijini Accra, Afful Boakye-Yiadom amewataka maafisa wa polisi kuepuka kujamiiana wakati wakijiandaa kusimamia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika takribani miezi ...Jaji Mkuu Kenya ataka bunge livunjwe kwa kukiuka Katiba ya nchi
Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga ameshauri Rais Uhuru Kenyatta avunje bunge la nchi hiyo kutokana na kutokuwa na wabunge wanawake wakutosha. ...Msaidizi wa Bernard Membe ahojiwa kwa utakatishaji fedha
Jerome Luanda ambaye ni msaidizi wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe, anashikiliwa na polisi kwa mahojiano kwa tuhuma za ...