Siasa
Tanzania yaziruhusu ndege za Kenya kuingia nchini
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeondoa zuio la kutoingia nchini ililokuwa imeweka dhidi ya ndege za Shirika la Ndege la ...Nchi 15 kutuma waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania
Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba, 2020 baada ya ...Tanzania kuingiza trilioni 7.5 kupitia Bomba la mafuta kutoka Uganda
Rais wa Yoweri Kaguta Museveni amefanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini ambapo ameungana na Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ...Orodha ya majimbo ambayo NEC imerejesha wagombea waliowekewa zuio
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekubali rufaa 13 na imewarejesha katika orodha ya wagombea Ubunge wagombea 13 baada ya kupitia nyaraka ...