Siasa
Rais wa Zambia aongoza maomboleza kifo cha samaki
Rais wa Zambia, Edgar Lungu ameungana na wananchi hasa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Copperbelt (CBU) kuomboleza kifo cha samaki aliyeaminika kuwa ...NEC yakubali rufaa za wagombea Ubunge 15
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewarejesha katika orodha ya wagombea Ubunge wagombea 15 baada ya kupitia nyaraka na kukubali rufaa walizowasilisha. ...Wagombea wa CCM watakiwa kuomba ruhusa kabla ya kuondoka majimboni
Wakati vyama mbalimbali vikiendelea na kampeni za kunadi sera zao kwa wananchi kuelekea Oktoba 28, 2020, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku ...Magufuli: Msichague wagombea ambao hawatimizi ilani ya CCM
Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kutomchagulia watu ambao hawatatimiza ilani ya chama ...Maafisa wa CHADEMA wakamatwa kwa kuchoma moto ofisi za chama hicho Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watumishi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaotuhumiwa kuchoma moto ofisi za chama ...