Siasa
Dkt. Magufuli, Prof. Lipumba wagombea halali, mapingamizi ya Lissu yakosa msingi wa kisheria
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa dhidi ya wagombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ...Rais Magufuli aagiza magari 130 yaliyotaifishwa yagawanywe kwa serikali
Rais wa Dkt. Magufuli leo amekagua magari yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio ya uhujumu uchumi, na kisha kuhifadhiwa katika kituo cha ...CCM: Rais Magufuli ataja vigezo walivyotumia kuteua wagombea Ubunge na Uwakilishi
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imekutana leo mjini Dodoma kwa lengo la kupitisha majina ya wanachama wa chama hicho walioteuliwa ...Chama cha siasa kitakachotumia zaidi ya TZS 17 bilioni, kutoshiriki uchaguzi ujao
Sheria ya udhibiti wa matumizi ya fedha katika uchaguzi imeweka ukomo wa chama cha siasa kutotumia zaidi ya TZS 17 bilioni katika ...Rais wa Mali atangaza kujiuzulu baada ya mapinduzi ya kijeshi
Rais wa Mali ametangaza kuwa kujjiuzulu nafasi hiyo kuepusha umwagaji damu saa kadhaa baada ya kuwekwa kuzuizini na jeshi la nchi hiyo ...