Siasa
Polepole: CHADEMA imemdhulumu TID kauli ya ‘Ni Yeye’
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamemzulumu mwanamuziki TID kwa ...ACT Wazalendo yamteua Membe kuwa Mshauri Mkuu
Chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo kimemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa chama hicho. Taarifa iliyotolewa na kiongozi wa chama, ...Wasifu mfupi wa Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania
DAR ES SALAAM – Katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Dk. John Pombe Magufuli jana alipokea hati za utambulisho ...Upigaji kura Zanzibar kufanyika siku mbili
Wananchi visiwani Zanzibar wanatarajia kupiga kura kwa siku mbili katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa ...Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. Luteni Kanali Sawala ...