Siasa
Jeshi la Polisi lawaonya wanaojiandaa kumpokea Tundu Lissu
Jeshi la Polisi nchini limewaonya wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaokusudia kukusanyika kinyume na sheria ili kumpokea ...Kenya yatangaza siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mkapa
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza siku tatu za maombolezo nchini humo kufuatia kifo cha Mwendazake Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin William ...Historia fupi ya maisha ya Mwendazake Rais Mstaafu Benjamin Mkapa
Benjamin William Mkapa alikuwa mwanasiasa wa Tanzania ambaye alikuwa Rais wa Awamu ya Tatu kuanzia mwaka 1995 ulipofanyika uchaguzi wa kwanza wa ...Rais Magufuli: Wengine mnaweza msichukue fomu muamue Magufuli amepita
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufulia amesema kuwa wagombea wa vyama vingine wanaweza kuamua kutokuchukua fomu za kugombea Urais wa Tanzania, badala yake ...CHADEMA yaomba polisi kumpatia Lissu ulinzi akirejea
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeliomba Jeshi la Polisi kumpatia Tundu Lissu ulinzi atakaporejea nchini kwa sababu usalama wake ...Waliohamia CCM waangukia pua kura za maoni
Waliokuwa wanachama wa vyama vya upinzani nchini Tanzania ambao kwa nyakati tofauti walihama vyama vyao na kujiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) wameshindwa ...