Siasa
Rais mpya wa Malawi ateua ndugu kuwa mawaziri
Rais mpya wa Malawi amekosolewa vikali kufuatia kuteua watu ambao ni ndugu na watu wake wa karibu katika baraza lake jipya la ...Mzee Butiku: CCM iachane na rushwa kwenye uchaguzi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho na yeye ni mwanachama kioneshe mfano kwa kuongoza kupinga ...Joshua Nassari: Siwezi kumpinga Rais Magufuli
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amesema kuwa hawezi kumpinga Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli kwa kuwa ya mambo anayoyafanya ...Rais Magufuli ateua Mkuu wa Wilaya na Wakurugenzi watano
Rais Dkt Magufuli amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya mmoja na Wakurugenzi wa Halmashauri 5 kama ifuatavyo; Kwanza, amemteua Lauteri Kanoni kuwa ...Bangi yawaponza polisi na afisa usalama wilayani Arumeru
Rais wa Tanzania Dkt Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi kwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Arumeru na Afisa Usalama wa Wilaya hiyo ...Rais Magufuli ateua wakurugenzi wapya watano
Rais Dkt Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wengine 5 kama ifuatavyo; Kwanza, amemteua Bw. Duncan Golden Thebas kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ...