Siasa
Rais Ruto alituhumu shirika la Kimarekani juu ya vurugu za maandamano
Rais wa Kenya, William Ruto amelituhumu shirika binafsi la Kimarekani, Ford Foundation, kwa kufadhili ghasia wakati wa maandamano ya kupinga serikali nchini ...Rais Samia aihakikishia Katavi umeme wa Gridi ya Taifa ifikapo Septemba
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Septemba mwaka huu, Mkoa wa Katavi utaanza kutumia umeme wa Gridi ya Taifa na kuachana na umeme ...NCCR Mageuzi yadai Mbatia ameuza mali za chama
Chama cha NCCR Mageuzi kimemtuhumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuuza mali za chama kiholela ikiwemo nyumba, kwa maslahi binafsi. ...Rais Mwinyi: Sekta ya sukari ni kipaumbele kwa Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa sekta ya sukari ni kipaumbele katika kilimo ...Rais Samia: Serikali na taasisi za kidini zishirikiane
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza ufanyaji kazi kwa ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi za Dini nchini ...Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kugharamia matibabu ya Edgar Mwakabela maarufu ‘Sativa’ aliyetekwa, kujeruhiwa na kutelekezwa msituni Katavi, kuanzia sasa anapoendelea kupatiwa ...