Siasa
Vigezo vikuu vilivyotumiwa na CCM Zanzibar kuchuja watia nia wa Urais
Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimechagua maji matano miongoni mwa majina 32 ya watia nia waliokuwa wanaomba ridhaa ya kuteuliwa na chama ...Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wakurugenzi watatu
Rais Dkt. Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi 3 kama ifuatavyo; Kwanza, Rais Magufuli amemteua Bi. Anastazia Tutuba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ...Rais Magufuli ateua wakuu wa mikoa 2 na wakuu wa wilaya 9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Wakuu wa ...Rais Magufuli ampongeza kiongozi wa upinzani Malawi kwa kushinda Urais
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amempongeza kiongozi wa upinzani nchini Malawi, Dkt. Lazarus Chakware kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo. Katika ...Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Tawala Wilaya kwa tuhuma za kuchukua wake za watu
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Tawala wa Wilaya (DAS) ya Kisarawe, Mtela Mwampamba kutokana na makosa ya kinidhamu. ...