Siasa
Waitara: Nimeisambaratisha CHADEMA Ukonga, nahamia Tarime Vijijini
Mbunge wa Ukonga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara ameweka wazi kwa mara nyingine kuwa atakwenda kugombea ubunge katika ...Zitto Kabwe na wenzake wabadilishiwa shtaka
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake saba wamebadilishiwa shtaka linalowakabili mara baada ya kukamatwa na polisi mkoani Lindi. Taarifa ...CCM yamjibu Membe ombi la kutaka kugombea Urais wa Tanzania
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa hatma ya uanachama wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe ilishamalizika alipofukuzwa uanachama ...Unaweza ukashinda kura za maoni bado nikakukata: Rais Magufuli
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufulia amewataka viongozi aliowateua kuridhika na kuzitumikia nafasi walizonazo kwa sasa, badala ya kuanza kuhangaika na nyingine ambazo ...Msimamo wa Bernard Membe kuhusu kugombea Urais wa Tanzania
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa atagombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa ...Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020: Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi
Na Farid Hashim, Zanzibar Juni 12 mwaka huu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole aliitangaza Juni ...