Siasa
Ahadi ya Jecha Salim Jecha baada ya kuchukua fomu ya Urais Zanzibar
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha leo Juni 20 amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi ...Msajili: Vyama vya siasa venye lengo la kushirikiana uchaguzi mkuu vimeshachelewa
Vyama vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa ...Picha: Rais Magufuli akagua ujenzi wa barabara za juu Ubungo
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amekagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya Barabara za Morogoro, Nelson Mandela na ...Kaimu Balozi wa Marekani kuondoka nchini Tanzania
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Dkt. Inmi Patterson anatarajia kuondoka nchini Tanzania hivi karibuni. Patterson anaondoka baada ya kuuongoza ubalozi huo ...Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020: Wasifu wa Balozi Ali Karume
Na Farid Hashim, Zanzibar Kinyang’anyiro cha mbio za Urais Zanzibar ndani ya CCM kimepamba moto baada ya makada zaidi ya 10 kujitokeza ...Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020: Wasifu wa Profesa Makame Mbarawa
Na Wahida Omari, Zanzibar Waziri wa Maji na kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Makame Mbarawa amechukua fomu kuomba ridhaa ...