Siasa
Rais mpya wa Burundi avionya vyama vya upinzani, ahoji mantiki ya kuipinga serikali
Rais mpya wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amevionya vyama vya upinzani nchini humo kwamba havitapata nafasi, huku hakihoji ni ipi mantiki ya mtu ...Rais Magufuli awataka wanasiasa kutotumia matusi na kejeli kwenye uchaguzi
Vyama vya Siasa nchini vimehakikishiwa uwepo wa uhuru na haki sawa kwa vyama vyote vitakavyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka ...Rais Magufuli aagiza shule zote kufunguliwa Juni 29
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ameagiza shule zote zilizokuwa zimefungwa kutokana mlipuko wa virusi vya corona zifunguliwe Juni 29, 2020. Aidha, ameruhusu ...Waliojiandikisha kupiga kura 2020 wafikia milioni 29
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura imeongezeka ambapo wapiga kura halali kwa mwaka huu ni 29,804,992 ikilinganishwa na ...Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson atangaza kugombea ubunge
Wakati Bunge la 11 likielekea ukingoni tayari kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. ...