Siasa
Zimbabwe: Corona ni adhabu kwa Marekani na Ulaya
Waziri wa Ulinzi wa Zimbabwe amesema kuwa virusi vya Corona ni adhabu kwa Marekani na Ulaya kwa kuiwekea nchi yake vikwazo. Waziri ...Serikali kutumia trilioni 34 bajeti ya 2020/21
Serikali imepanga kutumia kiasi cha shilingi trilioni 34.88 katika mwaka wa fedha 2020/2021 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo ikiwa ...Jaji Mutungi: Zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa halina malengo ya kufuta usajili wa ...
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi amesema zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa linalotarajia kuanza tarehe 17 ...Benki ya Dunia, na Tanzania zatofautiana viwango vya ukuaji wa uchumi
Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa ukuaji wa asilimia 5.6 mwaka huu, ambapo ukuaji unatarajiwa kuongezeka hadi ...Tanzania, Burundi, na DRC zasaini makubaliano ya ujenzi wa SGR
Tanzania, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo jana Jumanne Disemba 3, 2019 zilisaini makubaliano ya kujenga reli ya kisasa (SGR) itakayounganisha ...Sababu kuu tatu za Sumaye kujitoa CHADEMA
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo Disemba 4, 2019 ametangaza rasmi kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya ...