Siasa
Rais Samia: Ripoti za CAG zinaimarisha utendaji serikalini
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kila mwaka zinachangia kuimarisha na kuboresha ...CCM yakemea bendera yake kutumika kufanya uhalifu
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimelaani kitendo cha watuhumiwa wa usafirishaji wahamiaji haramu kutumia bendera ya chama hicho kufanyia uhalifu. ...Bunge lakanusha wabunge kuongezewa mishahara hadi milioni 18
Bunge la Tanzania limekanusha kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwamba wabunge wameongezewa mishahara kutoka ...Mabeyo: Hayati Magufuli alitaka kurudishwa nyumbani kabla ya kufariki
Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo ameeleza kuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Pombe Magufuli alitaka arudishwe nyumbani kutoka ...DRC yaishtaki Rwanda Mahakama ya Afrika Mashariki
Mgogoro katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umechukua mkondo wa kisheria baada ya Kinshasa kuishtaki Rwanda katika Mahakama ...