Siasa
CHADEMA yashtushwa Sumaye kutumia nembo ya taifa kuitisha mkutano wa wanahabari
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa kuona mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akitumia nembo ya ...Wananchi wa Kijiji wamkataa Mwenyekiti wa CCM aliyepita bila kupingwa, waeleza hujuma zilizofanyika
Ikiwa ni juma moja limepita tangu kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini, ambapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipata ushindi wa kishindo ...Serikali yaziagiza halmashauri zilizokopa benki za kibiashara kurudisha fedha hizo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo,amezitaka halmashauri zote nchini kutoa taarifa Ofisini kwake ...CHADEMA yatakiwa kujieleza kwa Msajili sababu ya viongozi waliomaliza muda kuendelea kukaa madarakani
Msajili wa Vyama vya Siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukitaka kijieleze haraka kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria ...Mahakama yamuongezea adhabu Diwani wa ACT Wazalendo aliyekata rufaa
Diwani wa Mwanga Kaskazini (ACT-Wazalendo) Manispaa ya Kigoma Ujiji, Clayton Chipando maarufu Baba Levo ameongezewa adhabu ya kifungo jela kutoka miezi mitano ...Hatua aliyochukua Rais Dkt Magufuli dhidi ya Nape, baada ya kusambaa kwa sauti akimjadili
Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Nnauye amekutana na kumuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti ...