Siasa
Patrick Mgoya afungua kesi Mahakama Kuu kupinga ukomo wa Urais
Patrick Dezydelius Mgoya, mkazi wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam amefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania akihoji uhalali ...Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kuingia Morogoro Kusini bila kibali cha Polisi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeripoti kuwa Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata viongozi wake kwa madai kuwa wameingia pasi na ...Waraka wa Kinana na Makamba ni utoto- Rais Mstaafu, Mzee Mwinyi
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi ameelezea kutofurahishwa kwake na kitendo kilichofanywa na aliyekuwa na Waziri wa Nchi, ...January Makamba atoa neno la mwisho baada ya kung'olewa uwaziri
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba ametoa kile alichokiita neno lake la mwisho katika hatua nzima ya yeye kutenguliwa uwaziri, ambapo ametumia nafasi ...Yanayosemwa baada ya Rais kumteua Simbachawene aliyejiuzulu uwaziri 2017
Rais Dkt John Pombe Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira uteuzi ambao ...Mabadiliko Baraza la Mawaziri, Rais atengua uteuzi wa January Makamba, amteua Hussein Bashe
Dkt. John Pombe Magufuli amemteua George Boniface Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira. Simbachawene anachukua ...