Siasa
Nafurahia Musiba kuwatukana viongozi wastaafu (CCM)- Mbunge Livingstone Lusinde
Mimi nafurahi Cyprian Musiba kutukana viongozi wastaafu, kwa sababu Kinana (akiwa Katibu Mkuu) alitukana viongozi wake akawaita mizigo. Nape (akiwa Mwenezi) amepata ...Video: Wanaodhani wanaweza kumzuia Rais Magufuli, wanapoteza muda wao- Nape Nnauye
Mbunge Nape Nnauye amesema wanaodhani kuwa wanaweza kumkwamisha Rais John Magufuli kugombea urais mwakani wanapoteza muda wao. Nape ambaye alikuwa Katibu wa ...Aliyekuwa kiongozi wa CUF ateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Julius S. Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya ...Jumuiya ya Madola yahimiza haki za binadamu na utawala wa sheria nchini Tanzania
Jumuiya ya Madola imeonesha kuridhishwa na namna Tanzania inavyotekeleza mageuzi ya kiuchumi,uwajibikaji na uawala bora kwa wananchi wake jambo ambalo jumuiya hiyo ...Serikali yapokea gawio la TZS 1 bilioni kutoka TPB
Na Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Serikali imepokea gawio la Shilingi Bilioni 1 kutoka Benki ya Posta Tanzania (TP B) ...Wafanyakazi watano wa Azam wafariki wakielekea kwenye uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Kampuni za Said Salim ...